TATU AENDA SOKONI
Msamiati
Soko,sokoni. market,in the market place
Mji,mjini,. town,in the town
Njia,njiani. Way,on the way
Basi,mabasi. Bus,buses
Basi,. Enough,stop then
Kutuma,kutumwa. To send,to be sent
Kutuma,kutumwa. To send,to be sent
Peke yangu,peke Yako n.k I alone,you alone ,etc
Kupenda,kupendana,. To love,to like,to love each other
Kukosa;kosa,makosa,. To miss,to make,mistake;a mistake,mistakes
Nafasi;wakati. Opportunity;time
Kuongea,. To talk,converse
Kusindikiza,. To accompany,escort
Sababu,kwa sababu. Cause,because
Tatu alipo kuwa mtoto alikuwa narafiki jina lake Cheng,Tatu na Chenga walipendana sana,Kila siku walikwenda shuleni pamoja,walicheza pamoja,siku moja Tatu alitumwa na mama yake sokoni,Njiani alikutana na Chenga,wakaamkiana hivi;
Chenga:Jambo(hujambo)Tatu?
Tatu;Sijambo,je wewe hujambo?
Chenga:Mimi sijambo kabisa,wewe je?
Tatu:Usiwe na shaka,Mimi ni mzima tu.
Chenga:Ni furaha kubwa Leo kukutana nawe peke Yako saa hizi,unakwenda wapi?
Tatu:Ninakwenda sokoni,mama amenituma peke yangu Leo
We will continue with our period next time