Jifunze Kiswahili
SWAHILI-ENGLISH VOCABULARY
CH
-chache, few
-chafu, dirty
chafuka,ku-, become dirty,be excited
chagua,ku-,. to choose,vote
chai, tea
chakula,vy-, food
Cheka,ku-, to laugh
chekelea,ku-(tabasamu),. to smile
chekesha,ku-,. to amuse
chelewa,ku-, to be late
Chemka,ku-, to boil
chemsha,ku-,. to cause to boil
Cheni,. chain
cheo. rank,social status
cheti,vy-,. certificate
cheza,ku-, to play
chini,. down,under
choka,ku-, to be tired
chombo,vy-, vessel(of any kind)
choo,vy-, toilet(s)
chui, leopard
chukua,ku-,. to take
chuma,vy-, iron(metal)
chuma,ku-, to pick(fruits,vegetables,etc,)
chumba,vyu-, room(s)
chuo,vy-,. college(s)
chuo kikuu,. University
chupa,. bottle.
End of our letter CH