Jifunze Kiswahili
SWAHILI-ENGLISH VOCABULARY
H
haba. little amount
habari,. news
habari gani? how are you?
hadithi. story
hafifu,. of poor quality
haidhuru, it does not matter
haki, justice right
hakika certainty
hakuna,. there is /are not
halafu,. . afterwards
hamsini, fifty
hapa, here
hapana,. no ,not so
hapo there,on the spot,there upon
haraka,. haste
haribika,ku-,. to be broken,out of order
hasa,. especially
hasara,. loss
hasira,. anger
hata,. even
hata kidogo,. not at all
hatari,. danger
hawa,. these(people)
We will continue with letter H next period