JK ahudhuria mkutano wa GPE

Rais Mstaafu Awamu ya Nne Jakaya Kikwete akifuatilia mkutano wa dunia wa mageuzi ya elimu New York, Marekani

Rais Mstaafu Jakaya Kikwete, Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Kimataifa inayoshughulikia Masuala ya Elimu Duniani (Global Partnership for Education) – GPE) ameshiriki katika Mkutano wa Mageuzi katika Elimu uliondaliwa na Umoja wa Mataifa, New York, Marekani