JK: Rais wa Namibia mfano wa kuigwa Afrika
MKUU wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na Rais wa Serikali ya Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete amesema Rais wa Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah ni kiongozi wa mfano Afrika. Kikwete alisema hayo alipozungumza katika mhadhara wa kitaaluma ulioandaliwa na chuo hicho na kuhudhuriwa na Rais Nandi-Ndaitwah jana. Alisema UDSM inajivunia kuwa chuo kinachotoa wataalamu … Continue reading JK: Rais wa Namibia mfano wa kuigwa Afrika
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed