JK: Wataanza kufa wao niwazike

RAIS Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete amebainisha kuwa kitendo cha kuanika ukweli kuhusu maendeleo makubwa yaliyofanywa na Serikali chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, ndiyo yamewafanya baadhi ya watu kusema maneno ya ajabu, ikiwemo kudai kuwa yeye amekufa au anapaswa kupumzika.

Hata hivyo, Kikwete amebainisha hadharani kwamba hajafa, haugui popote na wala hajaamka na kichomi na kwamba wale wote wanaomuombea mabaya watakufa wao yeye ndio atakayeenda kuwazika.

Akizungumza katika mkutano wa kampeni uliofanyika mjini Bagamoyo, mkoani Pwani, Kikwete alisema baadhi ya watu wanadhani kwa sababu anazungumza kuhusu mafanikio makubwa ya CCM, basi labda amechoka kisiasa au amekufa jambo ambalo alisema si kweli hata kidogo.

Habari Zifananazo

16 Comments

    1. JOIN US Everybody can earn 250/h Dollar + daily 1K… You can earn from 6000-12700 Dollar a month or even more if you work as a part time job…It’s easy, just follow instructions on this page, read it carefully from start to finish… It’s a flexible job but a good earning opportunity. tab for more detail thank you……..
      .
      This is my main concern……………………………………. http://Www.Cash43.Com

    1. Google is now paying $300 to $500 per hour for doing work online work from home. Last paycheck of me said that $20537 from this easy and simple job. Its amazing and earns are awesome. No boss, full time freedom and earnings are in front of you. This job is just awesome. Every person can makes income online with google easily……….
      .
      M­­­­­­o­­­­­­r­­­­­­e­ D­­­­­­e­­­­­­t­­­­­­a­­­­­­i­­­­­­l­­­­­­s For Us→→→→ http://Www.Payathome9.Com

  1. Waruhusiwe kuoa watoto Zao wa kike…. Wawe watu wa Ajabu.. MTU BAKI/JAMII KACHACHAMAA

  2. Waruhusiwe kuoa Wajukuu Zao wa kike…. Wawe watu wa Ajabu.. MTU BAKI/JAMII KACHACHAMAA

  3. Waruhusiwe kuoa Nyenya Zao wa kike…. Wawe watu wa Ajabu.. MTU BAKI/JAMII KACHACHAMAA

  4. Waruhusiwe kuoa Mama Wakubwa/Wadogo Zao …. Wawe watu wa Ajabu.. MTU BAKI/JAMII KACHACHAMAA

  5. Waruhusiwe kuoa Mama Shagazi Zao upande wa mama …. Wawe watu wa Ajabu.. MTU BAKI/JAMII KACHACHAMAA

  6. Waruhusiwe kuoa Mama Shagazi Zao upande wa Baba …. Wawe watu wa Ajabu.. MTU BAKI/JAMII KACHACHAMAA

  7. Waruhusiwe kuoa Mama Zao wa Kambo… Wawe watu wa Ajabu.. MTU BAKI/JAMII KACHACHAMAA

  8. Waruhusiwe kuoa Bibi Zao …. Wawe watu wa Ajabu.. MTU BAKI/JAMII KACHACHAMAA

  9. Waruhusiwe kuoa Binamu Zao …. Wawe watu wa Ajabu.. MTU BAKI/JAMII KACHACHAMAA

  10. Waruhusiwe kuoa Binamu Zao wa kike …. Wawe watu wa Ajabu.. MTU BAKI/JAMII KACHACHAMAA

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button