Job: Maumivu hayadumu milele tutarudi imara

AFRIKA KUSINI: Nahodha msaidizi wa Yanga Dickson Job amerejesha tumaini lililopotea la mashabiki wa timu hiyo baada ya kuondoshwa kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Mamelodi Sundowns jana usiku.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Job ameandika

“Maumivu hayadumu milele tutarudi tukiwa imara zaidi poleni sana wananchi kwa matokeo ya jana lakini pia asanteni kwa dua zenu na support kubwa mliyotupa kwa kila nyakati kila tulipo wahitaji na wale wote mliosafiri pamoja nasi basi tunawaombea muweze kurudi salama nyumbani upendo wenu utaishi mioyoni mwetu siku zote asanteni sana”

Habari Zifananazo

Back to top button