MKUU wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo, ameweka bayana kujifungua mtoto wa kike na kutangaza rasmi jina la mtoto wake, huku akionekana kwa mara ya kwanza akiwa amembeba.
–
Kwenye mtandao wake wa kijamii Jokate ameandika: ”Her name is Totoo. Call me Mama Totoo. Glory to God.”