Josko kutua City

BEKI wa RB Leipzig, Joško Gvardiol leo atafanyiwa vipimo vya afya jijini Manchester tayari kwa ajili ya kujiunga na City.

Taarifa ya Fabrizio Romano imeeleza kuwa nyaraka zote za mkataba baina ya City na mchezaji huyo, City na Leipzig zimesainiwa tayari.

Ameeleza zoezi la vipimo vya afya lilipaswa kufanyika asubuhi ya leo, hivyo huenda zoezi hilo limekamilika na kichosubiriwa ni taarifa rasmi.

Advertisement

Mpaka sasa City imekamilisha usajili wa Matteo Kovacic kutoka Chelsea, Josko atakuwa mchezaji wa pili.

1 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *