MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan, ameongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichokutana Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo Desemba 5, 2022.


Kamati Kuu CCM yakutana Ddodoma
Add a comment