Kane atua Bayern Munich

FC Bayern Munich wamethibitisha kumsajili Harry Kane kutoka Tottenham Hotspur.


Mshambulizi huyo wa Uingereza mwenye umri wa miaka 30 amesaini mkataba wa miaka minne hadi Juni 30, 2027, atavaa jezi namba 9.


Akiwa Spurs, Kane amecheza mechi 335 na kufunga mabao 280 na pasi za mabao 64.

Advertisement

6 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *