Kapinga ataja vigezo vya ziada upelekaji umeme vitongojini
DODOMA: Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Wakala wa Nishati Vijijini (REA) unatekeleza miradi ya umeme katika vitongoji kwa kuzingatia vigezo vya ziada ikiwemo ukubwa wa vitongoji, jimbo na mahitaji ya kiuchumi na kijamii. Lengo la kuweka vigezo hivyo ni kuhakikisha kuwa kila jimbo linakuwa na vitongoji vingi vilivyofikiwa na nishati ya umeme. Kapinga … Continue reading Kapinga ataja vigezo vya ziada upelekaji umeme vitongojini
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed