Kapinga ataka utekelezaji mipango kazi SIDO

DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga, amewataka watumishi wa Shirika la Maendeleo ya Viwanda Vidogo (SIDO) kutekeleza mipango kazi yenye tija ili kuchochea ajira nyingi nchini kupitia viwanda vidogo, hususan kwa kundi maalumu la vijana.
Wito huo umetolewa leo jijini Dar es Salaam wakati wa ziara yake ya siku ya tatu katika shirika hilo.
Kapinga amesema maagizo hayo yanaenda sambamba na Dira ya Taifa 2050, iliyozinduliwa Julai 17, ambayo miongoni mwa malengo yake ni kutoa ajira kwa Watanzania ifikapo mwaka 2030.

Amesisitiza kuwa jukumu la SIDO ni muhimu katika kufanikisha azma hiyo kwa kuhakikisha miradi na mikakati wanayoipanga inalenga matokeo halisi kwa wananchi.
Aidha, Waziri Kapinga amewataka watumishi wa SIDO kuunga mkono jitihada na ahadi za Rais ndani ya siku 100, ikiwemo utekelezaji wa Mfuko wa Fedha wa Sh bilioni 200 pamoja na uanzishwaji wa mitaa ya viwanda katika kila wilaya nchini. Amesema hatua hizo zitatoa fursa pana zaidi za ajira na kuinua uchumi wa wananchi, hasa vijana.
Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Bodi ya SIDO, Prof. Musa Nyamsengwa, amesema shirika hilo linatambua mwamko mkubwa wa wananchi wanaohitaji huduma za uendelezaji viwanda vidogo. Ameahidi kuwa SIDO itaendelea kuboresha huduma, kuimarisha ushirikiano na sekta binafsi na kuhakikisha wananchi wanazifikia huduma hizo kwa urahisi.

Naye, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Dk Suleiman Serera, amesema SIDO ni injini muhimu ya kukuza sekta ya viwanda vidogo na kuongeza mchango wake kwenye uchumi wa taifa. Amesisitiza kuwa wizara itaendelea kuunga mkono juhudi za shirika hilo katika kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi.




Google provides awesome remote work opportunities, allowing me to earn $2000-$3000 weekly with just 2-4 hours of daily work. It’s been a game-changer, offering flexibility and reliable income. If you’re seeking a genuine way to earn online, don’t miss this chance. Start today and transform your life!
.
More Details For Us →→ http://www.big.income9.com
JOIN US Everybody can earn 250/h Dollar + daily 1K… You can earn from 6000-12700 Dollar a month or even more if you work as a part time job…It’s easy, just follow instructions on this page, read it carefully from start to finish… It’s a flexible job but a good earning opportunity. tab for more detail thank you……..
.
This is my main concern……………………………………. http://Www.Cash43.Com
Google is now paying $300 to $500 per hour for doing work online work from home. Last paycheck of me said that $20537 from this easy and simple job. Its amazing and earns are awesome. No boss, full time freedom and earnings are in front of you. This job is just awesome. Every person can makes income online with google easily……….
.
More Details For Us→→→→→→→→→→ http://Www.Payathome9.Com
Wamiliki wa Mabasi yaliokuwa yanaitwa Scandinavi – Watakiwa kuhudhuria Kikao cha Wadau wa Mabasi Nchini ili Kujua changamoto kwa nini mabasi yao hayaonekani Mtaani