KATIBU Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo amekutana na kuzungumza na viongozi wa Ngome ya Vijana Taifa, ikiwa ni kujipanga kuelekea mikutano mikuu ya chama na Ngome Taifa.
Pichani viongozi wa Ngome ya Vijana Taifa,wakiendelea na kikao cha pamoja kujipanga kuelekea mikutano hiyo.