KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Fakii Lulandala amewasili visiwani Zanzibar na kupokelewa na wana CCM ikiwa ni mara yake ya kwanza toka alipoteuliwa na Kamati Kuu ya chama hicho kushika nafasi hiyo.


2 comments