Kazi na dawa mkutano CCM

  DODOMA; Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan, akifurahia burudani ya muziki pamoja na Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa, wakati vikundi mbalimbali vya sanaa ya vilipokuwa vikitumbuiza kabla ya kikao kuanza rasmi leo Ijumaa Mei 30, 2025. Mkutano huo ulianza jana Mei 29, 2025, … Continue reading Kazi na dawa mkutano CCM