Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimuapisha Jenista Mhagama kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo Aprili 2, 2023.(Picha na Ikulu).