Klabu ya Yanga imethibitisha kukamilisha usajili wa chipukizi Nickson Kibabage aliyekuwa Singida Big Stars kwa mkataba wa miaka miwili.
Usajili huo ni wakwanza kwa Yanga msimu huu, huku wakitegemea kuendelea kutambulisha wachezaji wegine wapya.
Kwa mujibu wa Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ally Kamwe klabu hiyo imemakilisha usajili wa wachezaji wote waliokusidiwa na kilichobaki ni kuanza kuwatambulisha.