Kihongosi apiga marufuku ‘faini ya funguo’ Arusha

ARUSHA: MKUU wa Mkoa wa Arusha, Kenani Kihongosi amepiga marufuku ‘faini ya funguo’ utozwaji ya sh, 30,000 inayotozwa baada ya mmiliki wa eneo husika kushindwa kulipa kodi mbalimbali ikiwemo kodi ya leseni na kodi ya huduma, zinazotozwa na halmashauri ya Jiji la Arusha kutokana na wafanyabiashara hao kushindwa kulipa kodi hizo kwa wakati. Kihongosi amepiga … Continue reading Kihongosi apiga marufuku ‘faini ya funguo’ Arusha