Kijaji atoa wito usafi, upandaji miti Tanga

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dk. Ashatu Kijaji ametoa wito kwa wananchi wa Tanga kuweka kipaumbele suala la usafi katika maeneo wanayoishi pamoja na upandaji wa miti ikiwa moja ya njia ya Utunzaji na Uhifadhi wa Maznigara. Dk. Kijaji amesema kwa kuanza na kila mwanafunzi anatakiwa kuwa na mti … Continue reading Kijaji atoa wito usafi, upandaji miti Tanga