Kila la heri Yanga

KIKOSI cha Yanga kimeondoka Dar es Salaam alasiri leo Novemba 4, 2022 kuelekea Tunis, Tunisia katika mchezo wao wa marudiano dhidi ya Club Africain ya huko.
Mchezo huo wa mchujo kuwania kutinga hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho unatarajiwa kuchezwa Novemba 9, mwaka huu nchini humo.