Kinana amfariji Katibu Swapo

NAMIBIA: Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (Bara)  Abdulrahman Kinana, akitoa pole kwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Swapo, Sophia Shaningwa, kwenye uwanja wa Michezo wa Uhuru katika shughuli ya mazishi ya aliyekuwa Rais wa tatu wa Namibia Hayati  Dk Hage Geingob Jijini Windhoek leo Februari 24, 2024.