Kinana aongoza kikao cha TCD

Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania, Mhe. Abdulrahman Kinana leo tarehe 28 Machi 2023 ameongoza kikao (SUMMIT) cha wajumbe wa TCD katika ukumbi wa Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam.

CCM, CUF, CHADEMA, NCCR-Mageuzi na ACT Wazalendo wamehudhuria.

Advertisement