Kisuo ataka maoni uboreshaji Wizara ya Kazi

DAR ES SALAAM; NAIBU Waziri wa Kazi, Ajira na Mahusiano, Rahma Riyadh Kisuo ameanza rasmi majukumu yake leo na kuwataka wadau pamoja na Watanzania kwa ujumla kutoa maoni na ushauri kuhusu namna ya kuboresha utendaji wa wizara hiyo.
Kisuo ametoa wito huo kwa wananchi kushiriki kutoa mapendekezo yatakayosaidia katika kusukuma mbele ajenda za wizara, hususan katika maeneo ya ajira, masuala ya mahusiano kazini, pamoja na maboresho ya mifumo ya kazi nchini.
Katika ujumbe wake, Rahma Kisuo ameandika:“Nikiwa naanza majukumu yangu katika OWM Wizara ya Kazi, Ajira na Mahusiano, nikiwa Naibu Waziri wa wizara hii, naomba kusikia kutoka kwa wadau na wananchi kwa ujumla.
Ushauri na maoni: Tuboreshe nini? Tuongeze nini? Na maeneo gani tunayopaswa kuyapa kipaumbele? Maoni yenu ni muhimu katika kutuongoza kwenye matokeo,” Rahma Kisuo.
Wito huo unalenga kuongeza ushirikishwaji wa umma ili kujenga mazingira bora ya kazi, kuongeza fursa za ajira, pamoja na kuimarisha mahusiano ya wafanyakazi na waajiri nchini.




JOIN US Everybody can earn 250/h Dollar + daily 1K… You can earn from 6000-12700 Dollar a month or even more if you work as a part time job…It’s easy, just follow instructions on this page, read it carefully from start to finish… It’s a flexible job but a good earning opportunity. tab for more detail thank you……..
.
This is my main concern……………………………………. http://Www.Cash43.Com
Google is now paying $300 to $500 per hour for doing work online work from home. Last paycheck of me said that $20537 from this easy and simple job. Its amazing and earns are awesome. No boss, full time freedom and earnings are in front of you. This job is just awesome. Every person can makes income online with google easily……….
.
More Details For Us→→→→→→→→→→ http://Www.Payathome9.Com
Google provides awesome remote work opportunities, allowing me to earn $2000-$3000 weekly with just 2-4 hours of daily work. It’s been a game-changer, offering flexibility and reliable income. If you’re seeking a genuine way to earn online, don’t miss this chance. Start today and transform your life!
.
More Details For Us →→ http://www.big.income9.com
Toa Maoni CNN
https://youtu.be/FWk3z2F__Yg?si=Wco7uydyygZTnIAb
Toa Maoni Jadififu DW
https://youtu.be/cBqU-CEyGrg?si=k0UABCT01OGsndoU
TOA MAONI JADIFIFU – ALJEZEERA NI WENYEWE KUELEWA NA KURIDHIKA
https://youtu.be/9Q7By-GpeJ4?si=gg3tfNvY6aOHHCWv
TOA MAONI JADIFIFU – ALJEZEERA NI WENYEWE KUELEWA NA KURIDHIKA
https://youtu.be/m48cqny6tA0?si=br-1udF8PV1U22xZ
TOA MAONI JADIFIFU – FirstPOST NI WENYEWE KUELEWA NA KURIDHIKA
https://youtu.be/9CmtV-sM06c?si=YBNfzS99igSorzi-
TOA MAONI JADIFIFU – KTN NI WENYEWE KUELEWA NA KURIDHIKA
https://youtu.be/6JoUgXxksF4?si=DDA18FSMBmylBE5i-
TOA MAONI JADIFIFU – DW NI WENYEWE KUELEWA NA KURIDHIKA
https://youtu.be/UGs-Jx_quiA?si=2jU4GgrWtXzb2-QC
TOA MAONI JADIFIFU – ALJEZEERA NI WENYEWE KUELEWA NA KURIDHIKA
https://youtu.be/BLBLv05wlQE?si=kkpxGJESWFQ32xrc
TOA MAONI JADIFIFU – ALJEZEERA NI WENYEWE KUELEWA NA KURIDHIKA
https://youtube.com/shorts/nBxOGA263e8?si=fncE_0j1N1HeFVj2
TOA MAONI JADIFIFU – TRT WORLD NI WENYEWE KUELEWA NA KURIDHIKA
https://youtu.be/p023kozaWzM?si=cJD-p1KAPAAd1WCz
TOA MAONI JADIFIFU – French 24 English NI WENYEWE KUELEWA NA KURIDHIKA
https://youtu.be/oHCk2xKYOuA?si=3iPOc2B_LzqgNbjN
TOA MAONI JADIFIFU – Nature RRT NI WENYEWE KUELEWA NA KURIDHIKA
https://youtube.com/shorts/8lySNnWwoSk?si=qOVX-YzU4VhhFKIM
TOA MAONI JADIFIFU – New YORK POST NI WENYEWE KUELEWA NA KURIDHIKA
https://youtu.be/Zc-G7BbIVug?si=dg91cx5mgAPtB4dg
https://youtu.be/PdhyI2FWvbY?si=NUpJNNNi6PoxugeR