Kiswaga aanza safari ya pili kuingia bungeni
Mbio za kisiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025 zimeanza kuchukua njia yake katika Jimbo la Kalenga, baada ya aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo, Jackson Kiswaga, kuchukua rasmi fomu ya uteuzi katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kwa ajili ya kuwania tena nafasi hiyo. Kiswaga, ambaye hivi karibuni alipitishwa na Halmashauri Kuu … Continue reading Kiswaga aanza safari ya pili kuingia bungeni
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed