Kocha Napoli awehuka na ubingwa

KOCHA wa mabingwa wa Serie A 2022/23, timu ya Napoli,  Luciano Spalletti (64) raia wa Italia amejichora tattoo ya logo ya timu hiyo sambamba na rangi ya taifa la Italia.

Kocha Napoli awehuka na ubingwa

Spalletti ameiongoza timu hiyo tangu msimu wa 2021 akitokea Inter Milan ya Italia, miaka miwili baadaye anatwaa Serie A mbele ya wababe, Inter Milan, AC Milan na AS  Roma.

Itakumbukwa, Spalletti ni Kocha pekee kuipa ubingwa wa Serie A , SSC Napoli maarufu ‘Gli Azzurri’ ama ‘The Blues’ tangu alipofanya hivyo Kocha Alberto Bigon msimu wa 1989/90 timu ikiwa na gwiji hayati Diego Armando Maradona, ambaye baada ya kifo chake mwaka 2020 uwanja wao wa nyumbani ukapewa jina kumuenzi shujaa huyo.

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
1 Comment
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
trackback
3 months ago

[…] post Kocha Napoli awehuka na ubingwa first appeared on […]

Back to top button
1
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x