Kombe la Dunia 2034 kufanyika Saudi Arabia

RASMI sasa Kombe la Dunia mwaka 2034 litafanyika nchini Saudi Arabia. Rais wa FIFA, Gianni Infantino amethibitisha hilo leo.
Kandanda inaunganisha ulimwengu kama hakuna mchezo mwingine, Kombe la Dunia ni maonesho kamili kwa ujumbe wa umoja na ushirikishwaji”. “Tamaduni tofauti zinaweza kuwa pamoja”.