Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Tanzania Dk Samia Suluhu, leo amekagua maandalizi ya Mkutano Mkuu wa 10 wa chama hicho unaotarajiwa kufanyika Desemba 7-8, 2022 katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.