Ligi ya vijana yashika kasi Arumeru

LIGI ya soka kwa vijana walio na umri chini ya miaka 13 itaeendelea kuchezwa Jumamosi  Septemba 6 katika viwanja vya shule ya kimataifa ya Kennedy House vilivyopo Usa River wilayani Arumeru mkoani Arusha. Katika michezo itakayochezwa wikiendi hii kwa umri wa miaka 13 timu ya Arusha Young stars itacheza dhidi ya Satino Academy, Mirrior Academy … Continue reading Ligi ya vijana yashika kasi Arumeru