“Lipeni madeni ya MSD izidi kuboresha hudum”
MTWARA: MGANGA Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Dk Benedicto Ngaiza, amewataka wataalamu wa sekta ya afya mikoa ya Mtwara, Lindi na Wilaya ya Tunduru kusimamia vyema ukusanyaji wa mapato kwenye vituo vya kutolea huduma za afya. Hatua hiyo itanufaisha malipo ya madeni ya Bohari ya Dawa (MSD) na kuipa nguvu ya kiuchumi katika kutekeleza majukumu … Continue reading “Lipeni madeni ya MSD izidi kuboresha hudum”
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed