Imeelezwa kuwa klabu ya Liverpool ya nchini England haiuzwi tena isipokuwa kuongeza uwekezaji.
Henry Fenway Sports Group (FSG) ambao waliinunua timu hiyo 2010 waliwahi kuweka nia ya kusaka uwekezaji mpya.
“Tunauza Liverpool? Hapana haiwezekani.” Alisema John Henry mmiliki wa Liverpool.” Amesema Henry.
Amesema wanaongeza na wawekezaji kuangalia uwezekano wa kupata uwekezaji mpya “Kuna kitu kitatokea naamini hivyo ila sio kuuza.” Ameongeza Henry.