Liz Truss akutana na Malkia Elizabeth

LIZ TRUSS amekutana na Malkia Elizabeth wa Uingereza, huko Balmoral na sasa anakuwa rasmi Waziri Mkuu akichukua nafasi ya Boris Johnson aliyejiuzulu.

Hatua hiyo inamfanya Truss kuwa Waziri Mkuu wa 56 wa Uingereza, lakini akiwa mwanamke wa tatu kushika wadhifa huo.

Habari Zifananazo

Back to top button