Lulandala agawa baiskeli kwa mabalozi Jimbo la Chakwa

ZANZIBAR; BAISKELI 180 zimegawanywa kwa mabalozi wa nyumba 10 wa Jimbo la Chakwa, Wilaya ya Kati, Zanzibar.

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapunduzi (CCM), Faki Lulandala amegawa baiskeli hizo ambazo zimetolewa na Mwakilishi wa Jimbo la Chakwa, Issa Gavu.

Advertisement

Lengo la kutolewa kwa baiskeli hizo ni kurahisisha utendaji kazi kwa mabalozi hao katika kuwatumikia wanachama wa CCM.

3 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *