Baadhi ya wafanyakazi kutoka wizara,taasisi za serikali na zisizo za kiserikali, wajasiriamali binafsi wakiwa katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, ambayo kitaifa yanafanyika Uwanja wa Jamhuri Morogoro na mgeni rasmi akiwa Rais Samia Suluhu Hassan.