Mabadiliko wakuu wa wilaya
UHAMISHO: Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Wakuu wa Mikoa na Wilaya .
Julius Mtatiro aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tunduru amehamishiwa Wilaya ya Shinyanga.
Joshua Nassari aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Monduli amehamishiwa Wilaya ya Magu. Godwin Gondwe aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Bahi amehamishiwa Wilaya ya Singida.