Maelekezo ya sikukuu

MWANZA: POLISI Kata wa Kata ya Bugogwa Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Gamaweshi Masasi akizungumza na watoto wa mtaa wa Bugogwa Desemba 22,2023 ambapo amewataka kuwa makini katika kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka.

Aidha amewasisitiza kutojihusisha na michezo ya hatari na badala yake watumie kipindi hiki cha likizo kujisomea na kuwasaidia wazazi kazi za nyumbani.

Habari Zifananazo

2 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Back to top button