Maelezo ya RC Manyara kwa Rais Samia

RAIS Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga akielezea kuhusiana na athari za mafuriko yaliyotokea katika eneo la Jorodom Katesh wilayani Hanang. Rais Samia ametembelea eneo hilo mkoani Manyara, leo Desemba 7, 2023.

Habari Zifananazo

Back to top button