Mafanikio Ilala yametokana na ushirikiano – Mpogolo

DAR ES SALAAM: Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo amesema mafanikio ya wilaya hiyo yametokana na kufanya kazi kwa ushirikiano. DC Mpogolo ametoa kauli hiyo mbele ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI),  Mohammed Mchengerwa katika hafla ya Ufunguzi wa Soko la Nyamachoma la Kumbilamoto katika … Continue reading Mafanikio Ilala yametokana na ushirikiano – Mpogolo