Mahakama yatupilia mbali kesi ya bandari

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Mbeya leo Agosti 10, 2023 imetupilia mbali maombi yote sita ya walalamikaji waliofungua  ya kupinga mkataba wa uwekezaji katika Bandari ya Dar es salaam

Walifungua kesi hiyo dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi na Katibu Mkuu wa wizara hiyo. Kesi hiyo ilitajwa kwa mara ya kwanza mahakamani hapo Julai 3 na ikaanza kusikilizwa Julai 20, mwaka huu.

Habari Zifananazo

2 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Back to top button