Majaliwa atoa maagizo 7 kwa taasisi, watumishi wa umma

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa maagizo saba kwa taasisi za umma na watumishi wa umma kwa lengo la kuimarisha utendaji kazi. Ametangaza kuanzia jana hadi Julai 30 mwaka huu taasisi za umma zijiunge na mfumo wa kielektroni utakaowezesha mifumo ya serikali kuwasiliana (GovESB). Hatua hiyo pamoja na mambo mengine itasaidia kudhibiti rushwa na kuimarisha ulinzi … Continue reading Majaliwa atoa maagizo 7 kwa taasisi, watumishi wa umma