Majaliwa kuzindua ofisi za TADB Mtwara

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, leo anatarajiwa kuzindua ofisi ya Benki ya Maendeleo ya Kilimo nchini (TADB) Kanda ya Kusin,i ambayo ipo mkoani Mtwara.

Taarifa ambayo imetolewa na ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mkoani Mtwara, imesema Majaliwa atawasili mkoani hapa mchana na kuzindua ofisi hizo za TADB zilipo Mjini Mtwara na baadae kuzungumza na wananchi.

Baada ya hapo anatarajiwa kuanza ziara ya kikazi mkoani Mtwara kwa siku saba kuanzia kesho Julai 7, 2023.

Habari Zifananazo

2 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Back to top button