Majaliwa: Tuimarishe ubora wa elimu kwa ajira bora

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) na taasisi nyingine za elimu, kusimamia na kudhibiti ubora wa elimu inayotolewa kuanzia elimu ya msingi mpaka elimu ya juu ili kuendelea kukidhi viwango vya kitaifa, kikanda na kimataifa. Majaliwa alisema hayo alipomwakilisha … Continue reading Majaliwa: Tuimarishe ubora wa elimu kwa ajira bora