Maji yafikia mita za ujazo 155.9 JNHPP

SHIRIKA la Umeme nchini (TANESCO) limesema kazi ya ujazaji maji katika mradi wa bwawa la kufua umeme la Julius Nyerere (JNHPP) inaendelea na sasa maji yamefikia mita za ujazo 155.49 kutoka usawa wa bahari.

Mradi huo ukianza kufanya kazi utakuwa na uwezo wa kuzalisha megawati 2115 za umeme

Advertisement
Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *