Majina ya walioteuliwa CCM yanatangazwa

DODOMA; KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapoinduzi (CCM), Amos Makalla, muda huu anatangaza majina ya wana CCM waliopitishwa kuwania nafasi za ubunge kwenye mchakato ndani ya chama hicho.