MWANZA: Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Itikadi ,Uenezi na Mafunzo ,Amos Makalla ambaye alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, mapema leo Aprili 06, 2024 amekabidhi ofisi kwa Mkuu mpya wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda.
Makabidhiano hayo yamefanyika katika ukumbi wa mikutano wa mkoa huo na kuhudhuriwa na watumishi mbalimbali wa serikali pamoja na wadau wengine.