Makamu wa Rais awasili Hungary

MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Dk Philip Mpango leo amewasili Budapest nchini Hungary ambapo anatarajia kumuwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Tano wa Idadi ya Watu (5th Budapest Demographic Summit) utakaofanyika tarehe 14-15 September 2023.

Mkutano huo wenye kauli mbiu ya “Dhima ya Familia Msingi wa Usalama” utahudhuriwa na wakuu wa nchi na Sserikali kutoka mataifa mbalimbali.

 

Habari Zifananazo

Back to top button