Malalamiko ya wananchi MSD yapungua
TABORA: MKUU wa Wilaya ya Tabora Mjini, Deusdedith Kitwale ameipongeza Bohari ya Dawa (MSD) Kanda ya Tabora kwa kuboresha na kuimarisha huduma zakekoani humo, hali iliyowezesha kupungua kwa malalamiko ya wateja na wananchi kwa ujumla. Kitwale amewapongeza watumishi wa MSD Kanda ya Tabora, kwa utendaji mzuri, chini ya uongozi wa Meneja Kanda hiyo, Rashid Omary … Continue reading Malalamiko ya wananchi MSD yapungua
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed