Mambo yalivyokuwa Tuzo za Malkia wa Nguvu

DAR ES SALAAM; Matukio mbalimbali yaliyokuwa yakiendelea kwenye ukumbi wa Mlimani City Dar es Salaam  usiku wa Machi 23, 2024 katika kilele cha utoaji wa tuzo za Malkia wa Nguvu 2024, ambapo kaulimbiu ya tuzo hizo ni WEKA TUWEKE. Mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Prof.Kitila Mkumbo.

Habari Zifananazo

Back to top button