Mambo yameanza Mkutano Mkuu CCM

MKUTANO Mkuu wa 10 wa Chama cha Mapinduzi (CCM), umeanza asubuhi hii mkoani Dodoma.

Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo, akizungumza wakati wa kumkaribisha Mwenyekiti wa chama hicho, Samia Suluhu Hassan alisema wajumbe wanaotakiwa kuhudhuria mkutano huo ni 1934, ambapo waliohudhuria ni  1928.

“Mahudhurio ni sawa na asilimia 99.

6, ni wajumbe sita tu ambao hawajahudhuria,” alisema Chongolo.

Habari Zifananazo

Back to top button