Mambo yamenoga SGR

DAR ES SALAAM: KICHWA kipya cha treni ya umeme chenye namba ya usajili E6800-01 kilichoundwa na Kampuni ya ‘Hyundai Rotem Company’ (HRC) kimewasili nchini Tanzania kutoka nchini Korea Kusini. Kichwa hicho cha umeme ni miongoni mwa vichwa 17 vilivyoagizwa na Shirika la Reli Tanzania (TRC) kwa ajili ya kuanza kwa safari za treni ya Kisasa … Continue reading Mambo yamenoga SGR